Hatimaye hatutaishi kama mashetani

Hatimaye hatutaishi kama mashetani

Ivan Prosper

Senior Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
150
Reaction score
94
Hayawi hayawi ss yamekuwa, Serikali yatangaza kupandisha vyeo wafanyakazi wake, kuwaongeza mishahara, kuwapandisha madaraja na kuwalipa malimbikizo ya mishahara wafanyakazi wake wote kuanzia januari mwaka 2017. *kupata vichekesho kama hivi Tuma neno VICHEKESHO KWENDA 15671*
 
Mkuu bange inapendeza sana ukiipata usiku wakati unaelekea kulala, ndiyo haitakuzingua.
 
Mkuu umechoka kuheshimiwa? Kiukweli nilianza kupata matumani!!!
 
Ungejua matus niliyokutuka kimoyo moyo sijui ungefanyaje ila nimekutukana sana
 
Ndiyo maana MAKONDA anapiga sn vita umiaji wa hii SHISHA,,
Ona sasa inavyokupeleka peleka hovyo,, unawaza kupaa Angani wakati huna mabawa.
 
Mleta post katumia shisha iliyoisha mda,pale kinondoni studio kwa nyuma kwa mzee mpwilimbi
 
Back
Top Bottom