Hatimaye HITS Tanzania wakubali kufulia...


naamini hii ni kweli maana HITS Uganda ilikuwa taken over by france telecom tangu 2008.

soma hapa: http://www.telegeography.com/cu/article.php?article_id=25655
 
Hawa wawekezaji inabidi wawe wanafanyiwa upembuzi yakinifu.tena ilibaki kidogo jamaa moja aniunganishie kwa huyo mtoto wa mwinyi,ili nami nifanye kazi hapo hits,kwani tambo zilikuwa nyingi sana.maskini wadanganyika sisi,sijui tunaenda wapi.
Nashauri waathirika wa wa zoezi hili wapate ushauri to Idara ya Kazi,watapata msaada tosha bila rushwa.
 
Kwa nyepesi nyepesi nilizozisikia ni kuwa hii kampuni ina mkono wa mzito mmoja nchini.
 
Hits ilikwishafulia siku nyingi,kwani mjenzi wa network kampuni ya huawei hawajalipwa hata senti,hii ina maana mitambo yote kama huawei wakiamua watachukua na kuiuza kwa investor yeyote ili kurudisha hela yake.hata baadhi ya majenerator,bts,feeder na vingine vingi vilivyokuwa havijawainstalled vipo kule milenium ubungo warehouse huawei aligoma kuendelea kufanya instalation.
 
Jamani hayo ni ya Hits iko wapi hii Smile Communication?
 
Nashukuru kwa yote mazuri mliyoyataja hapo juu sisi bado tupo Kazini, Wewe uliyeleta Mundiko huu eti Mara ooooh tumefulia,waaapi?Bado tupo sana sana,nyie mlie tu Hits haifi na haitakaa ife nyooo. Waoneni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…