Hatimaye IDF yatwaa ngome kuu ya Hamas jijini Gaza

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Hatimaye Jeshi la Israel limeweza kuitwaa ngome kuu ya Hamas katikati mwa JIJi la Gaza. Ngome hiyo maarufu Kama Central Hamas Military quarter iliyopakana na hospitali ya eneo la Shifa.

Kikosi Cha 162 Cha IDF kilichotwaa ngome hiyo kimefanikiwa kuwaua wapiganaji wa Hamas 50 na kwa Sasa wanamalizana na wapiganaji wachache waliojificha kwenye Hospitali ya Shifa.

IDF iliamuru raia wote waliokuwepo ndani kwenye Hospitali hiyo watoke ili imalizane na wapiganaji hao wa Hamas waliojificha kwenye Hospitali hiyo. Raia walitii wito huo na kujikusanya kwenye uwanja nje ya Hospitali hiyo wakisubili IDF wamalizane na hao wapiganaji. Inasemekana Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar yupo humo ndani.

Ngome hiyo ya Hamas ya Central Hamas Military Quarter ilikuwa na ofisi kuu zifuatazo.

1. Ofisi kuu ya ujasusi wa Hamas.

2. Makao ya Polisi wa Hamas.

3. Ofisi kuu ya masuala ya kijeshi

4. Ofisi kuu ya mambo ya kisiasa ya Hamas.

Kwa Sasa kazi iliyobakia ya IDF ni kuharibu mfumo wa mahandaki wa Hamas, ambao walikuwa wamejipanga kweli kwa kuujenga mahandaki yenye mifumo ya hewa na maji.
 
Mungu ibariki Israel,hatimaye palestina inakombolewa kutoka mikononi mwa magaidi wapenda damu.
 
Habari source yake kanisa la Mwamposa
 
Chanzo: BBC
IMG_20230120_102545_105736.jpg
 
Back
Top Bottom