Hatimaye ile mechi iliyochezwa kwa muda mrefu duniani, imemalizika

Hatimaye ile mechi iliyochezwa kwa muda mrefu duniani, imemalizika

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Ni ile iliyoanzia dimbani,
Ikahamia mezani,
Ikahamia kwenye kamati zingine.
Leo jioni imemalizika kwa simba kufungwa rasmi 2-1.




[HASHTAG]#hizi[/HASHTAG] mambo zingehamia kwenye viwanja basi kila mwezi Tz tungekua tunabeba wedikapu hata Kama inachezwa baada ya miaka minne[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapa mpaka tumuombe msamaha yule aliyesema Soka la bongo ni kichwa cha mwendawazimu.ndio mambo yatakuwa sawa labda
 
Back
Top Bottom