Nimetaarifiwa kuwa Muda si mrefu rais JK ataingia hospital ya bugando mwanza kuwaona majeruhi wa ukerewe na wale askari waliopata ajali shinyanga.
Yeyote aliyekaribu na maeneo hayo atupe kinachoendelea please.

Mimi nilifikiria anaenda kuona maendeleo/matatizo waliokuwa nayo na kuwaambia Wachimba Madini yetu wapeleke Vifaa Kule na Kujenga sema Wodi ya Watoto/Akina Mama , Taasisi ya Saratani , Kama wa Ambulance za Kutosha nk nk