white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Barca ni timu kama timu nyingine tu bro! Hata kama huipendi Real lakini gepu la umiliki na kufunga magoli imepunguzwa sana! kwa vile umeshinda nami nakupongeza ila nakuambia iangalie sana Real.
barca ni kama chadema wanakaba pamoja na kushambulia kwa pamoja.
victor valdes=mbowe
mesi=zito
alves=msigwa
iniesta=mnyika
xavi=mdee
fabregas=mbunge ajae igunga
puyol=ndesamburo
pique=sugu
abidal=wenje
mascherano=lema
alcantara=mtema
guardiola=slaa
wadau endeleeni kutaja kikosi.
kocha wa real madrid jose amekili kuwa barca ni noma! baada ya kupata kipigo cha mabao 3-2,ktk mechi ya marudiano ya super cup.Japo madrid waliendeleza ule ubabe wao wa kiatu mtu;MESI bado anaendelea kuwatesa kwani zikiwa zimebaki dk kama tano mpira kwisha akapiga bao hilo kweli mesi noma.Angalau na FABRIGAS ameanza kushika makombe ambayo kwake ulikuwa msamiati.upende usipende hawa barca ni noma jamani.
Acha ushabiki Bro! Barca ni noma hakuna timu duniani itaifunga Barca labda kwa kutaka tu wenyewe. Check pass ya Fabrigas, niliipenda sana japo walitufuna UEFA
Acha kuongea pumba weweAcha ushabiki Bro! Barca ni noma hakuna timu duniani itaifunga Barca labda kwa kutaka tu wenyewe. Check pass ya Fabrigas, niliipenda sana japo walitufuna UEFA
Wewe uliangalia mechi zote mbili?Acha ushabiki Bro! Barca ni noma hakuna timu duniani itaifunga Barca labda kwa kutaka tu wenyewe. Check pass ya Fabrigas, niliipenda sana japo walitufuna UEFA

barca ni kama chadema wanakaba pamoja na kushambulia kwa pamoja.

victor valdes=mbowe

mesi=zito

alves=msigwa

iniesta=mnyika

xavi=mdee

fabregas=mbunge ajae igunga

puyol=ndesamburo

pique=sugu

abidal=wenje

mascherano=lema

alcantara=mtema

guardiola=slaa

wadau endeleeni kutaja kikosi.
kaka usihofu nilikuwa najaribu kuangalia vikosi vya ushindi tu.Hapa watu wanazungumzia mpira wewe waleta siasa zako.
Barca ni timu kama timu nyingine tu bro! Hata kama huipendi Real lakini gepu la umiliki na kufunga magoli imepunguzwa sana! kwa vile umeshinda nami nakupongeza ila nakuambia iangalie sana Real.

Mourinho ameanza kupata dawa ya kuwadhibiti Barca - slowly but surely