Hatimaye Justin Bieber akamatwa...

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
Mwanamuziki Maarufu Justin Bieber amekamatwa na polisi jijini Miami, Florida kwa kosa la kuendesha gari akiwa na kilevi kichwani (DUI-Driving Under the Influence) na kuendesha kwa spidi. Tukio hili limetokea akiwa bado anafuatiliwa na polisi kwa tuhuma za kurusha mayai kwny nyumba za jirani zake na kusababisha uharibifu wa mamilioni ya dola. Kwa habari zaidi tembelea hapa

Souces: Celebrity Gossip | Entertainment News | Celebrity News | TMZ.com

Na hapa....

Celebrity Gossip | Entertainment News | Celebrity News | TMZ.com
 
Huyu Dogo mbona kila kukicha ni matukio au pesa zinamzuzua?
 
Mbele watu wanapigana kwa kurushiana mayai!!

Bongo ukinigusa tuu!...mvua ya mawe inakusubiri
 
Huyu Dogo mbona kila kukicha ni matukio au pesa zinamzuzua?

Hivi ulishawahi kumuona baba yake...km limafian..limejichorachora sijui ndo usela..I guess huyu dogo amelithi vya baba yake....
 
Mayai yameharibu vipi mamilion?ufafanuz tafadhari
 
Mayai yameharibu vipi mamilion?ufafanuz tafadhari

Mayai yamerushwa kwa nyumba so vile hawakuwahi kuyatoa na maji (ilo wasiharibu ushahidi) yameganda. Si unajua tena nyumba za wenyewe...
Ngoja nicheki picha niweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…