Hatimaye Kajala afunguka kuhusu sakata la kutembea na bwana wa Wema Sepetu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Masanii wa filamu, Kajala Masanja amedai kuumizwa na watu wanaojiita ‘Team Wema’ kwa kumzushia kuwa anatembea na mume wa zamani wa rafiki yake, Wema Sepetu na kudai kuwa anatarajia kumtafuta Wema ili kuzungumza naye.
Kajala ameiambia Bongo5 kuwa tangu uzushi huo uanze, bado hajakaa kuzungumza na Wema.
“Mimi ningependa hawa Team Wewa ndio wangezungumza na ndio wameanzisha. Sina tatizo na Wema, kwahiyo hao ndio wanajua mimi sijui. Hata bwana wake huyo simjui,mimi aliyeanzisha simjui ila kama unakumbuka nilianza kuzushiwa ya mume wa Shamim leo wanasema mume wa Wema labda ndio vinawafurahisha. Yaani mimi sijui chochote,sijaonana na Wema. Wema alikuwa busy anashoot movie yake na mimi nilikuwa mimesafiri nimeenda kwa bibi yangu labda sasa hivi aliporudi ndipo nitamcheki tuzungumze,” amesema Kajala.
 
Huyu Kajala nae asituchanganye, kama kweli hakuna bifu hizo story zinamda gani mbona hawajazungumza? Hata kama yupo busy anashoot movie kwani wao si mashostito si wanaweza hata kuongea kwa simu?!!! Mie naona walakini hapo.
 
Hata kama kweli kwani wema nae si alikuwa mwizi tu hao team wema wangekuwa wanampenda muuza sura wao si wangemshaur aache kutembea na mume wa mtu.. Mtenda akitendwa eeh

Watuwengine Celebrum,celeberum na medula oblongata zao zimejaa funza tupu.
 
Hakuaa mme wakee banaa ukiwa mwizii lazima uibiwee tu huyu Kajala ashamuona Wema Mungu bora amtafutie hizo milion 13 amrudishiee
 
Mume wa wema?
Mnamaanisha mjasiriamali Jumbe au?
Tz bana nchi pekee ambayo wezi wanaweza kuwekeana bifu kwa kila mmoja kuiba kitu kimoja!
Simpatii picha mke wa clement anavyojionea raha duniani!
Ahahahahhaha
 
Mume wa wema?
Mnamaanisha mjasiriamali Jumbe au?
Tz bana nchi pekee ambayo wezi wanaweza kuwekeana bifu kwa kila mmoja kuiba kitu kimoja!
Simpatii picha mke wa clement anavyojionea raha duniani!
Ahahahahhaha

Hawa wameamua kuchekesha tu..

Lini Wema aliolewa?

Amtafute ili wazungumze nini? Wakati jamaa ashaacha mzigo kwa Diamond ...

Ingekuwa inahusu kuingilia penzi la Diamond sawa...Au Wema anapanga kumrudia jamaa??!? Hehee 😉
 
Unataka kuniambia hata simu siku hizi hawapigiani.Sababu mshj wako atleast kila siku lazima mpeane michongo sana sana kama michongo yenu inafanana hebu asituchoshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…