simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Hasira za nini baba? Tanzania ya mamaako?Hamia kenya
Huo ushauri wala si hasira!Hasira za nini baba? Tanzania ya mamaako?
Hasira peleka danganyika...ondoa upuzi hapa.Hamia kenya
Hasira unazijua wewe ?Hasira peleka danganyika...ondoa upuzi hapa.
Uhuru ana zaidi ya hecta 100,000 Taita Taveta county ipo idle ila huruhusiwi ku-tresspass ila kwetu sisi ni sawa! Shenzy typeIwafidie na walioporwa ardhi na wanasiasa maanake chanzo cha yote Ni malisho
Umemuweza kweliHasira za nini baba? Tanzania ya mamaako?
Ndio sababu kuu mpo LDCUhuru ana zaidi ya hecta 100,000 Taita Taveta county ipo idle ila huruhusiwi ku-tresspass ila kwetu sisi ni sawa! Shenzy type
Tusigani kwa mfano?.Serikali ya Uhuru Muigai Kenyatta italipa fidia ya dola za kimarekani 400 kwa kila ngombe mmoja .Ahsante Serikali sikivu ya Uhuru. Tusi kubwa kwa wababe wa bongo . Kenyan herders to get $400 for each cow lost in Tanzania
Pan Africanist first muTz second.Now you know brother.Tusigani kwa mfano?.
Kwahiyo tuachie hifadhi zetu zichezewe?!!!.
We mTZ kweli?.