Hatimaye Kenya na Rwanda waamua kutia saini mkataba wa EPA bila kusubiri yeyote


Akili za wakenya ni zao hawajiulizi nn impacts za mikataba kama hiyo. Ni hatari sana kuishi na nyumbu. Waoga sana kujiamini wanaogopa eti watanyimwa misaada, hawa nyang’au bure kabisa
 
Kwani issue nini ww nyang’au. Mlikuwa mnasubiri Tanzania? Nyang’au ninyi, mnaogopa madeni mnayodaiwa maana mnaweza kuuza nchi yenu. Mnawaogopa wazungu utadhani Mungu. Mkafie mbali wasaliti wakubwa
Jamaa ni wasaliti sana hawa hasa mbele ya ngozi nyeupe, usimuamini Mkenya
 

[emoji2][emoji2][emoji2]unfortunatully ni mkenya ndiye kaja kutoa taarifa kwamba rwanda na kenya tayari zimeishavua chupi!!!!!!

Kuna mwanachama yeyote umesikia akilalamika kwanini mmewahi???kwanini useme tunalalamika mnatutenga??kwanini mlipata kigugumizi tokea mwanzo kama si waoga na swala lenye faida kwenu???

Ujinga.
 
E.A.C. ni muungano wa kurudishana nyuma tu. Mbona tangia ule muungano wa awali kusambaratika Kenya tumekuwa tukifanya vyetu bila ya kumtizama yeyote yule? Ukiungana na washamba lazima utajionea mengi, ya kutamausha na ya kutisha pia.
Mnajidanganya sana , kenyans need tanz and vice versa. Kwani eeu leo mwaka wa ngapi na bado na changamoto.je mnajua wakoloni walishawaza na kuanza kuunganisha tz ug kenya for their econonic interest.hivi haya majadiiliano yetu kwa mipasho style yatatusaidia kweli??
 

Ni kweli nchi zetu tunategemeana, ila tunachosema bora tuishie kwenye biashara tu lakini mengine yabaki yalivyo, mkitaka huu muungano uvunjike na kufia mbali, jaribuni kutuunganisha kama mlivyounganishwa na Wazanzibari, tutaishia kuburuzana na kukwamishana kwa kila kitu.
Kwa sasa ni nafuu kila nchi inafanya yake na tunahusiana tu pale panahusu biashara.
Nchi zetu hizi haziendani, hususan nyie hamuwezi kuendana na taifa lolote majirani zenu maana mpo mnaendeshwa kimfumo, yaani mawazo yenu, mnavyoishi, kula, kuongea kuwaza na kufikiri vyote vimeshapangwa na kuelekezwa kwa mfumo wa kiujamaa. Sasa kwa hali hiyo, hamuwezi kuendana na watu wanaotokea mataifa ambayo kila mmoja ameachiwa uhuru wa kifikira.
 
Wewe unafikiri kenya ina tofauti sana na tz ,ni kujidanganya sana na naomba nikuulize what behind referendum?Why roto is not comfortable with it?je tunachofikiria sisi ndiyo wa jf ndiyo wanachofikiria wakuu wetu kwenye meeting zao?every side must show maturity siyo kudanga like local bank kenya inakopesha kwa 9 perc, huku ukijuwa siyo kweli
 
mahusiano kama kufa yakibidi kufa yafe.nipe mifano 3 inayoonyesha tz inabuluza kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…