Hatimaye kesho namshuhudia Mohamed Salah na Christian Ronaldo Live, Nimepata entrance ticket Kiev wing A67

kyaibumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
715
Reaction score
994
Kama nilivyoeleza
Jana nimepata zari la kulipia takribani dollars 360 kupata tickets A67 ya kuingilia kuchek UEFA Final
Asante kwake Mr, Richardson's betting centre wa mtaani wangu Odessa kwa kuniwezesha kuipata hata kama Muda haukuwa rafiki tena, pia na kuniongezea bonus ya kulipia ,

Niko njian naelekea Kiev kwanza nijibanze mapema eneo,

 
Mzee una nyota kwelikweli ni juzi juzi tu hapa umetia mguu huko sasa hizi dollar 300 si kitu tena.....

Safi sana mzeee.... [emoji2][emoji2][emoji2]
 
ulibeti au umeinunua kwa ela yako......na tiketi inauzwaje kwa pesa yetu ya madafu
 
Wewe ndie ulie sema umepata kazi Ukrain au sio wew
 
Hongera sana Kamanda
Kaza jombaa usikate tamaa
 
Uko upande gani madridista au YNWA
 
Sure mzee mshahara wa mwalimu miezi 2 una uteketeza kwa siku moja.....

Kweli maisha sio fair hata kidogo......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…