Hatimaye Kiba kumkaribisha Diamond.

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
900
Reaction score
431
Pasipo na ubishi wala kuteteleka hili ni jambo zuri ever...baada ya Msanii Mkubwa kumtaka msanii mwenzake ambaye naye ni Mkubwa aje...nijambo jema! Nahisi huu ugomvi wale waliokuwa wananufaika nao,sasa imekula kwao...

kama haitoshi,msanii huyu king kiba uku akiwa anamkaribisha kiroho safi kaka mkubwa platnum ametumia fasihi ya hali ya juu,kwa kumuambia anamkaribisha aje na marafiki zake WCB huu ni upendo mkubwa...lakin kama haitoshi anajaribu kumtaja jina lake pasipo moja kwa kumchora kana kuwa amekuwa akionekana na watu wa kimataifa...huku akimsogeza zaidi kwa moja ya vimwana aliyo wahi kuwa nao..

sanaa hii ni kubwa na yenye umahiri wakutosha hasa pale anapotumia picha ya msichana mzuri akimanisha msanii mzuri lakin kubwa zaidi ni ubunifu na style ya yule Alikiba niliyekuwa na mjua enzi za Cindelela...kani vutia kweli!

Tujumuike hapa kushare verse za ngoma yetu...leo TeamKiba TeamDiamond Kitu kimoja!
 
Kimsingi ule wimboni mzuri ila kumfananisha diamond na msichana mrembo aliye tajwa kwenye ule wimbo hapana. HAPO NAONA UCHAMBUZI WA FASIHI UMEKUPIGA CHINI
 
Sijui kwanini tunabeza tafsiri yake kwenye huo wimbo,

Kila mtu anaweza tafakari wimbo kwa kutumia mazingira anayoishi msanii husika...

Wewe kama wimbo umechukulia kama wa mapenzi tu kuna watu wanaenda hatua moja mbele kujiuliza msanii alimaanisha nini.

Ni mawazo yako tu Czer Labda inaweza ikawa hivyo au kinyume chake.

#Aje#
 
Kimsingi ule wimboni mzuri ila kumfananisha diamond na msichana mrembo aliye tajwa kwenye ule wimbo hapana. HAPO NAONA UCHAMBUZI WA FASIHI UMEKUPIGA CHINI
maana na histori,kila mmoja huwa uhuru wakuja na fafanuzi na tafsiri yake...inawezekana wewe ukaona sio...tafsiri ya kifasihi ikasema ndio.
 
Mi kipindi nauskia nikajiuliza,huyu anamuita nani?na wakafanye nini?
ukipata wasaa wakusikiliza interview ya kiba ya redio mawingu kwenye jahazi,alipokuwa ana ambiwa kuwa diamond aliimba wimbo wake,the way alivyokuwa akirespond utapata connection ya karibu kuwa the song its special for resolving bif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…