NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Hao UWT ni kina nani?kama mama huyo ni mwizi leteni ushahidi tu na tuntahakiksiaha anweza mbele ya pilato..
Hatimaye yule kigogo wa shirika kubwa la Bima hapa nchini Mama Margreth Ikongo ameachia ngazi na kuhamishiwa wizara ya fedha kitengo cha masuala ya Bima.
Kama mnakumbuka gazeti la Mwanahalisi la wiki hii lilitoa taarifa hii likisema ni taratibu zinaendelea kufanyika na kigogo huyo kutupwa nje ikiwa inasemekana ndiye aliyelisababishia Shirika hilo kubwa hapa nchini kuwa katika hali mbaya kifedha na matumizi mabaya na kutolipwa kwa wateja madai yao ya muda mrefu.
My take yule jamaa wa Any time Cancelation ankaribia kuhamishiwa huko??
Tunatega sikio nzi wetu akirukaruka
Mkuu hapa sikubaliani na wewe kabisa kwani sifa kubwa ya Mwaikambo ilikuwa kuiweka BIMA ktk hali nzuri kisha akahamishiwa TIB wakati wa amwinyi ambayo pia ilikuwa hoi bin taaban..Shirika lilikufa tangu akiwepo hayati mwaikambo, akaja TEMU akachimba kaburi na huyu mama alichofanya ni kupiga misumari kwenye jeneza. Hivyo kufa kwa shirika hili ni kama process ya kutengeneza kitu kiwandani kuamzania hatua ya kwanza hati kupata end product.
Kha Jamani,
Sikatai shirika lilikuwa na matatizo kama yalivyo mashirika yote ya uma lakini mzigo huo asitwishwe ndugu yangu huyu peke yake ki hivyo! Shirika limeanza kutafunwa tangu enzi za Mkuu wa kwanza yule marehemu leo iweje mumshupalie huyu Mama wa watu! Haya basi tuyaache hayo ......mnasema replacement wake eti atakuwa mzee wa Any Time Cancellation.....are we serious? what is with this country with recycling of the wrong type of garbage? Kha mwee! Tunachoka........tunapata kiungulia sana!
Ndeanasia