Hatimaye Kocha wa Magolikipa Milton Nienov apewa mkono wa kwa heri na Timu ya Yanga SC

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
π—§π—›π—”π—‘π—ž 𝗬𝗒𝗨 Milton Nienov

Tunamshukuru Kocha wa Magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.

Maoni yangu:

Naona kabisa benchi la ufundi lote linatembea na Nabi maana walitengeneza Chemistry kubwa sana.

Na Yule jamaa mwenye mzuka (manywele) kama na yeye anaondoka itakua mtihani sana, maana jamaa aliipenda Yanga SC na anamzuka sana haswa timu ikishinda.

Kila la heri kwao.

1686849301553.jpg
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ daah sa itakuwaje?
 
π—§π—›π—”π—‘π—ž 𝗬𝗒𝗨 Milton Nienov

Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC...
Niwe mkweli, nilikuwa nawaonea wivu Yanga kuwa na yule manywele kwenye benchi la ufundi. Alijijengea uaminifu na ukaribu sana na wachezaji. Nilitamani Simba wangekuwa na mtu kama yule.
 
Viongozi wa bongo Wana wivu wa kichawi. Ikitokea kocha anapendwa sana mashabiki watamtoa ili hasiwafunike wao. Karibu kufikiri yule kocha wa viungo wa Simba mtunisia anavyoipenda timu na jinsi alivyowajenga wachezaji wakawa fit. Na kila siku mashabiki wa Simba wanalia arudishwe lakini wameziba masikio
 
Niwe mkweli, nilikuwa nawaonea wivu Yanga kuwa na yule manywele kwenye benchi la ufundi. Alijijengea uaminifu na ukaribu sana na wachezaji. Nilitamani Simba wangekuwa na mtu kama yule.
Leo umeamuwa kula usembe na kuacha uchawi.

System ya kisasa kocha mkuu huwa anakuwa na team yake ya ufundi na hata mshahara head coach ndio anawalipa yeye mshahara, ndio maana ukisikia kocha Fulani analipwa pesa nyingi si zake peke yake Bali technical bench analilipa yeye.

Halafu yule Manywele ni Mtunisia mwenzake si rahisi kumuacha kocha jamaa unaona wazi aliipenda Yanga kutoka moyoni.
 
Mjinga wewe 🀣🀣🀣🀣
 
Yule hata mie namkubalii, ana vibe vibayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na amechachukaa haswaaah
 
Yule wanaweza wasimtangaze kuwa kaondoka maana vilio vitatawala mitandaoni zaidi ya hivi vya Nabi πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

Watashangaa tu pre-season hayupo πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Yule wanaweza wasimtangaze kuwa kaondoka maana vilio vitatawala mitandaoni zaidi ya hivi vya Nabi [emoji1787][emoji23][emoji1787]

Watashangaa tu pre-season hayupo [emoji1787][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule akiondokaa hata takadini atalia, ndo alikua ana mpa hype mnoo. Yule bhana amechachukaa, akianzaa vimbwanga vyakee vya kushangilia mie hoiiiii.
 
Leo umeamuwa kula usembe na kuacha uchawi.

System ya kisasa kocha mkuu huwa anakuwa na team yake ya ufundi na hata mshahara head coach ndio anawalipa yeye mshahara, ndio maana ukisikia kocha Fulani analipwa pesa nyingi si zake peke yake Bali technical bench analilipa yeye.

Halafu yule Manywele ni Mtunisia mwenzake si rahisi kumuacha kocha jamaa unaona wazi aliipenda Yanga kutoka moyoni.
Kwamba kocha anawalipa wasaidizi wake anaokuja nao! Acha utani
 
Back
Top Bottom