NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Niwe mkweli, nilikuwa nawaonea wivu Yanga kuwa na yule manywele kwenye benchi la ufundi. Alijijengea uaminifu na ukaribu sana na wachezaji. Nilitamani Simba wangekuwa na mtu kama yule.π§πππ‘π π¬π’π¨ Milton Nienov
Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC...
Viongozi wa bongo Wana wivu wa kichawi. Ikitokea kocha anapendwa sana mashabiki watamtoa ili hasiwafunike wao. Karibu kufikiri yule kocha wa viungo wa Simba mtunisia anavyoipenda timu na jinsi alivyowajenga wachezaji wakawa fit. Na kila siku mashabiki wa Simba wanalia arudishwe lakini wameziba masikioNiwe mkweli, nilikuwa nawaonea wivu Yanga kuwa na yule manywele kwenye benchi la ufundi. Alijijengea uaminifu na ukaribu sana na wachezaji. Nilitamani Simba wangekuwa na mtu kama yule.
Leo umeamuwa kula usembe na kuacha uchawi.Niwe mkweli, nilikuwa nawaonea wivu Yanga kuwa na yule manywele kwenye benchi la ufundi. Alijijengea uaminifu na ukaribu sana na wachezaji. Nilitamani Simba wangekuwa na mtu kama yule.
Mjinga wewe π€£π€£π€£π€£Leo umeamuwa kula usembe na kuacha uchawi.
System ya kisasa kocha mkuu huwa anakuwa na team yake ya ufundi na hata mshahara head coach ndio anawalipa yeye mshahara, ndio maana ukisikia kocha Fulani analipwa pesa nyingi si zake peke yake Bali technical bench analilipa yeye.
Halafu yule Manywele ni Mtunisia mwenzake si rahisi kumuacha kocha jamaa unaona wazi aliipenda Yanga kutoka moyoni.
Simba Sc wamewahi kuwa na mtu kama yule, Zrane sijui ilikuwjaje tu wakaachana nae.!Niwe mkweli, nilikuwa nawaonea wivu Yanga kuwa na yule manywele kwenye benchi la ufundi. Alijijengea uaminifu na ukaribu sana na wachezaji. Nilitamani Simba wangekuwa na mtu kama yule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule hata mie namkubalii, ana vibe vibayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niwe mkweli, nilikuwa nawaonea wivu Yanga kuwa na yule manywele kwenye benchi la ufundi. Alijijengea uaminifu na ukaribu sana na wachezaji. Nilitamani Simba wangekuwa na mtu kama yule.
Yule wanaweza wasimtangaze kuwa kaondoka maana vilio vitatawala mitandaoni zaidi ya hivi vya Nabi π€£ππ€£Yule hata mie namkubalii, ana vibe vibayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na amechachukaa haswaaah
Yeah mtu kama yule aliyeweza kujenga bond na wachezaji ni muhimu saana. Anaweza kwenye mambo technical asiwe na maajabu mengi ila ule ukaribu una maana sana.Simba Sc wamewahi kuwa na mtu kama yule, Zrane sijui ilikuwjaje tu wakaachana nae.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule akiondokaa hata takadini atalia, ndo alikua ana mpa hype mnoo. Yule bhana amechachukaa, akianzaa vimbwanga vyakee vya kushangilia mie hoiiiii.Yule wanaweza wasimtangaze kuwa kaondoka maana vilio vitatawala mitandaoni zaidi ya hivi vya Nabi [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Watashangaa tu pre-season hayupo [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kwamba kocha anawalipa wasaidizi wake anaokuja nao! Acha utaniLeo umeamuwa kula usembe na kuacha uchawi.
System ya kisasa kocha mkuu huwa anakuwa na team yake ya ufundi na hata mshahara head coach ndio anawalipa yeye mshahara, ndio maana ukisikia kocha Fulani analipwa pesa nyingi si zake peke yake Bali technical bench analilipa yeye.
Halafu yule Manywele ni Mtunisia mwenzake si rahisi kumuacha kocha jamaa unaona wazi aliipenda Yanga kutoka moyoni.