Tesla Motors
Member
- Nov 26, 2017
- 62
- 26
Kama uzi uliopita nilieleza kuwa mwaka 2016 (Miezi 18 iliyopita) katikati nilishawahi sex bila condom na mwanamke HIV POSITIVE, Basi mimi nikajua ndo basi, watu wakanitia Moyo ila sikuwa na imani...nilikaa 2016 yote, 2017 yote huku nikiwa na wasiwasi kwamba Huenda Ninao lakini Kupima Nilikuwa Naogopa.
After that scenario nimesex na wanawake kama 15 japo sikuwahi kufanya Unprotected sex tena kwa kila tendo nilitumia Condom.
basi majuzi nilileta uzi hapa Jukwaani kuomba Ushauri kuhusu hili na Wanajukwaa wakanishauri Nipime na Basi Siku ya Leo Nimepima na Majibu yangu kwa sasa ni HIV-NEGATIVE.
Swali Kwenu Ndugu.
Mimi Mara ya mwisho kusex ni kama wiki 11 zilizopita na nilitumia condom kiufasaha,sasa swali ni je Kuna Haja ya kupima baada ya wiki moja ingine ili zikamilike 12 (miezi 3)?.
Na Je Kuna uwezekano wa Haya Majibu ya week 11 after exposure kubadilika?.
Mwisho Asanteni Nyote Mlionitia Nguvu Katika Kipindi Chote Hichi Kigumu Nilicchopitia.