Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #41
SawaMuda utasema
Bora iwe hivyo maana jf ishaanza kupoteza mwelekeoKwa TAARIFA ZA UHAKIKA jf mods wamedhamiria kurudisha hadhi yake, hivyo wale watukanaji wajiandae
Hujaona ID yake huko juu ya Ustaadh Swalehe??Jf itaanza kupoteza mvuto....USA baby zikikosekana!
Hahahahaha...eti "Ustaadh Swaleh"Mti wenye matunda...
Kwa sababu ya Nyani ngabu ndo jf ipoteze mvuto??Bora iwe hivyo maana jf ishaanza kupoteza mwelekeo
Obviously,cause posting zako hazina vichwa wala miguu,at most zinajaza serversUna uhakika mimi mgeni humu??
Hahahaaa...ambalo na wewe umelitumia saa hii
Nilivyoona hii id nimecheka mbaya,kumbe alikuwa nayo kitambo ila alikuwa ameiweka akiba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli akiba haiozi!Hujaona ID yake huko juu ya Ustaadh Swalehe??
sio kwa sababu yake, bali utoto umekuwa mwingi sana hapa jf kiasi kwamba inapoteza mvuto!Kwa sababu ya Nyani ngabu ndo jf ipoteze mvuto??
Huwezi ukawa serious.
Akiba haiozi! Umeibuka na hii mpya!Mti wenye matunda...
Ha ha ha ha ha ,hongera wewe mwenye post zenye vichwa na miguuObviously,cause posting zako hazina vichwa wala miguu,at most zinajaza servers
Kwani yeye nani mpaka asipewe permanent ban ??Duuh hauwez kupewa permanent ban lazma atarud tu
Umerudi kivingine[emoji38] [emoji38]Mti wenye matunda...
1) amekuwa mkosa adabuMkuu ulifanya kosa gani mpaka wakakufuta vyeo vyote na pia nahisi umelambwa permanent ban ile id yako ya nyani ngabu
Hupigwi ban milele [emoji23]Ukiwa sijui notable member unapata faida gani labda?
Like minded individuals kama wewe ndio wanaokujua-wale wenye uwezo wa ku analyse issues hawawezi kukuchukulia seriousHa ha ha ha ha ,hongera wewe mwenye post zenye vichwa na miguu
Ila embu jaribu kuuliza kwa watu kati yako na mimi nani akipotea jukwaani huwa anakumbukwa sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanza sidhani kama kuna mtu anakujua humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1) amekuwa mkosa adabu
2) amehama dini kinyume cha sheria
3) amerudi ccm contrary to national development vision 2015/2050
4) Amerudi kijijini!!! Anaendesha gesti bubu huko namtumbo!! Ile hadhi ya Usa baaby imeyeyuka!! Chunga asinisikie!
Nimejaribu kufatiliaa majibu yako kwa huu uzii....nimegundua kitu kuhusu wewe kwa Nyani ngabu....kama huna ugomvi nayee basi kuna sehemu ulikuwa unamuoneaa wivu....na kama wewe ni mwanaumee jichunguzee vizurii mwenendo wako....Wanaume wengi wa ukweli hawako hivoo....ila kama ni mtoto wa kikee ni sawaa....JichunguzeeKwani yeye nani mpaka asipewe permanent ban ??