Maneno ya Mkosaji “ Sizitaki mbichi hizo” safari hii wamenyooshwa Acha tu mjifariji na kujipa moyo kwa maneno ya kila mwanadamu ataonja mauti.All in all kila mwanadamu ataonja tu mauti. It is just the matter of time.
Watachagua warithi wapya, hata hao walirithi baada ya watangulizi wao kuuawa.Hamas inatangaza rasmi safu ya maafisa wakuu ambao waliangamizwa katika miezi ya hivi karibuni (kwa mpangilio kutoka kushoto kwenda kulia):
Abu Ubaida - Msemaji wa Hamas
Ra'ad Saad - Mkuu wa wafanyakazi wa uzalishaji
Hakim Alais (Abu Omar Al-Suri)
Mohammad Shabana - Amiri wa Rafah
Mohammad Sinwar - Ndugu wa Yahya na kamanda wa muda wa mrengo wa kijeshi
(Abu Ali)
Kuwapa taifa hao watu Israel itafanya "Grave Mistake" watu haohao mwaka 2005 waliachiwa Gaza na West-Bank matokeo yake wakagombana wakagawana Mwingine kachukua Gaza na mwingine kabuki na West-Bank.Watachagua warithi wapya, hata hao walirithi baada ya watangulizi wao kuuawa.
Kuwapa Palestine Taifa lao huru ndio suluhisho pekee la kudumu la mzozo wa mashariki ya kati.
Mimi nimeongea kama binadamu nisiyefurahishwa na mauaji ya kipuuzi. Kuuondoa uhai wa binadamu siyo jambo la kupongezwa hata kidogo. Ni vizuri pia utambue kwenye jambo hili siegemei upande wowote.Maneno ya Mkosaji “ Sizitaki mbichi hizo” safari hii wamenyooshwa Acha tu mjifariji na kujipa moyo kwa maneno ya kila mwanadamu ataonja mauti.
Bora magaidi watangulizwe tu kuzimu wakafaidi wale Mabikira 72 walioahidiwa na mtume wao!!!
Ni ujinga na upumbavu kujifanya wewe huko upande wowote Wakati unajua kabisa Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walivamia Israel na kuua watu 1.200 na wengine 521 kutekwa nyara..Mimi nimeongea kama binadamu nisiyefurahishwa na mauaji ya kipuuzi. Kuuondoa uhai wa binadamu siyo jambo la kupongezwa hata kidogo. Ni vizuri pia utambue kwenye jambo hili siegemei upande wowote.