Sawa wewe mzoga unakaaMzoga unao tembea huo
Yap! Another figure/Target subject to ELIMINATION very soon.Hamas imetangaza rasmi kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama kiongozi mpya wa shirika hilo la kigaidi akimrithi marehemu Yahya Sinwar muasisi wa mauaji ya Oct 07,2023 huko Gaza na ambaye aliangamizwa na majeshi ya Israel.
Kwa TANGAZO hili Majeshi ya Israel sasa yanaanza kimbembe cha ku Sakwa na kumuua kiongozi huyu wa kigaidi!!!!!
Mm hapa.Sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu na hilo halina ubishi ukiona anayebisha naye lazima atakuwa ni walewale.
Ngoja tuone atakayebisha.
Ila anayekata mti ni Mwingine na anayepanda mti ni Mwingine.Habari njema kwa wapambanaji wa hamas
Ukisikia kata mti panda mti ndio hii sasa
Weweeee! Acha bhana; Humtakii mema. Kuanzia siku ya uteuzi rasmi ndo siku hiyo-hiyo alipata kibali na sharti la lazima kuingia shimoni(kwenye handaki) kama mjomba wake wa kule Uajemi. Ole wake! Akijaribu kutoka tu utasikia ELIMINATED.Hongera kwake.Apitepite kwa majirani awasabahi na wamtambue vema.