Habarini ndugu zangu , Kuna siku niliomba ushauri kuhusu muvunjika kwa uchumba na jinsi ya kurudishiwa mahali na baadhi ya zawadi nilizowahi kuzitoa ,
Nashukuruni kwa ushauri wenu kwa kila mmoja alivyonishauri na hatimaye Mahari yangu yote imerudishwa na Namshukuru Mungu kwa hilo na Mungu awabariki kwa ushauri wenu .