Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Mwanamitindo Maarufu MANGE KIMAMBI hatimaye amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo 26/10/2018,
Taalifa zinasema kuwa Mwanamitindo huyo ameingia nchini usiku wa manane kwa kuhofia asije kamatwa ingawa hata hivyo haikusaidia chochote kwani Maafisa usalama walikuwa tayari wamekwisha zipata taarifa za ujio wake na wakakaa kumsubili Kabla hajatia miguu katika Ardhi ya Tanzania ,
Alipofika aliwekwa chini ya Ulinzi lakin Mh. John Pombe Magufuli akatoa tamko kwamba Wamuachie huru ila wamwambie anaombwa na Rais kwaajili ya Mazungumzo Ikulu.
Mpaka namaliza kuota ndoto hii iliyokuwa ya kusisimua niliacha Mange Kimambi Bado hajaenda ikulu
duu ulikuwa makiniii...!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]