Ni nani huyu mkuu?Huyu jamaa ameendelea kutoa hamasa ya vijana kujituma katika masomo.
Hatimae amekuwa Profesa wa uchumi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Pia soma Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania
View attachment 3615282
Ni ma prof sawa ila ukiwasikiliza ni utumbo tu wanatemaMkumbo amepata Phd, na Kabudi bila shaka hao walikuwa wahadhiri kabla hawajajongea mjengoni.
Hapana; ukitoka senior lecturer ndo unakuwa promoted kwenda associate professor. Ni vyeo viwili tofauti. Associate professor ipo juu ya senior lecturer. Unaweza kuwa senior lecturer maishabyako yote na husiwe promoted kuwa associate professor.Okay. Kwa maana hiyo Senior lecturer na Associate professor ni cheo kilekile ni namna tu utakavyoamua kutaja? Samahani msinichoke me ngumbaru
Anasaka nini sasa?Huyu jamaa ameendelea kutoa hamasa ya vijana kujituma katika masomo.
Hatimae amekuwa Profesa wa uchumi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Pia soma Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania
View attachment 3615282
Ni ma prof sawa ila ukiwasikiliza ni utumbo tu wanatema
Swali la mwisho. Kwa hiyo huyu aliyenzishiwa uzi hapa sio professor kwa mujibu wa hilo bango lililoambatanishwa?Hapana; ukitoka senior lecturer ndo unakuwa promoted kwenda associate professor. Ni vyeo viwili tofauti. Associate professor ipo juu ya senior lecturer. Unaweza kuwa senior lecturer maishabyako yote na husiwe promoted kuwa associate professor.
Huyu asijekuwa anahusika na kumpa pHD Dr wetu!Anamchango Gani kwenye taifa.amewahi kukemea mauaji ya watanzania Oktober 29?
Ni professor, ni professor. Nikupe mfano kidogo kwa muhadhiri yani lecturer. Kuna assistant lecturer (muhadhiri msaidizi), muhadhiri lecturer, na kuna senior lecturer (muhadhiri mwandamizi). Ni levels tu za kuwatofautisha kudhihirisha ukongwe wao kazini ila wote ni lectures tu (wahadhiri).Swali la mwisho. Kwa hiyo huyu aliyenzishiwa uzi hapa sio professor kwa mujibu wa hilo bango lililoambatanishwa?
Asante mkuuNi professor, ni professor. Nikupe mfano kidogo kwa muhadhiri yani lecturer. Kuna assistant lecturer (muhadhiri msaidizi), muhadhiri lecturer, na kuna senior lecturer (muhadhiri mwandamizi). Ni levels tu za kuwatofautisha kudhihirisha ukongwe wao kazini ila wote ni lectures tu (wahadhiri).
Hata associate professor (junior professor tuseme), full professor (kawa professor kamili sasa), senior professor (professor mwandamizi) still wote ni maprofessor tu.
Ni sawa na kusema afisa utumishi; kuna junior, kuna senior hata zisipotamkwa ila wote ni afisa utumishi tu. Hata associate professor, ni professor.
In a nutshell, zipo njia kadhaa za kufikia ngazi ya professor. Njia mbili kubwa ni tenure-track na non-tenure track.Najua kwamba sio kila mwenye PhD ni professor ila kwamba sio kila professor ana PhD hiyo ni elimu mpya kwangu. Ili huyu mwenye PhD au asiye na PhD awe professor inatakiwa atimize vigezo gani?
Mbona vijana waliopata uprofesa hapo udsm ni wengi hapo huwaoni kina kimambo, kassim na bulugu we umeona chegere tu ndo wa kutia hamasa watu kusoma hao maprof wa ICT vijana? hawana mchangoHuyu jamaa ameendelea kutoa hamasa ya vijana kujituma katika masomo.
Hatimae amekuwa Profesa wa uchumi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Pia soma Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania
View attachment 3615282