Hatimaye Masanja mkandamizaji ni baba kijacho

Hatimaye Masanja mkandamizaji ni baba kijacho

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Wakati ndoa yake ikitimiza mwaka mmoja mwezi huu tangu ilipofungwa Agosti, mwaka jana ndani ya Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar, aliyekuwa memba wa Kundi la Vichekesho la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ huku masimango yakiwa mengi kutokana na kukaa muda mrefu bila mkewe, Monica kushika ujauzito, hatimaye Mungu amejibu maombi,

Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo kilitonya kuwa katika ndoa ya Masanja kulikuwa na changamoto kubwa kwani chokochoko na masimango vilikuwa vimeanza huku watu wakijiuliza kwa nini miezi yote hiyo mkewe hajapata ujauzito kwa sababu watu walishazoea mtu akiingia tu kwenye ndoa muda mfupi baadaye lazima ijibu.

“Kiukweli Masanja na Monica wamepitia kwenye masimango makubwa sana kwani watu walikuwa wakiwasimanga kwamba ndoa yao imechelewa sana kujibu huku wengine wakidai huenda kuna mkono wa mtu ndiyo maana wamekawia kiasi hicho.
20838950_214131885782842_7957697659223932928_n.jpg
 
Joanah, ni sawa ni jambo jema na kubwa lakini kwanini waanze kuitangaza?! hahhahahah sawa nimekusoma bwana!
Ndio mambo yaliyopo siku hizi katika mitandao,wala sio jambo la kulishangaa sanaa
Wengi wanafanya hayo hasa ma-star
 
Naam hii inamaanisha kwamba Masanja na mkewe wanalala uchi na hawatumii kondomu... Hongera Mkandamizaji kwa kukandamiza kizenji!
 
Hahahaahahaa.....

Walishaanza maneno!?? Bongo nuksi..
 
Back
Top Bottom