Hatimaye Masanja mkandamizaji ni baba kijacho

Huyu nae ndo wale wale washamba flani!!! yeye kila kitu cha chumbani anaweka mtandaoni
 
watanzania tuna shida kubwa sana na hizi media pia zinatupeleka kubaya maana swala la watu la ndani linakuwa habari kabisa kwenye media ? Hii inapelekea kuendelea kufuatiliana maaisha ya kila mtu amepanda ameshuka na vingine,jamani tubadilike kila mtu afanye yake na hawa ambao wanahusika kufungia magazeti wasiangalie vyama ktk kutenda kazi zao.Kuna magazeti yanaharibu kizazi chetu kabisa kwa siku za usoni yaani mara fulani tayri imenaza,mara mzee kafanyiwa kitu kibaya,mara ndoa ya fulani matatani,mara fulani kaweka hadharani mchumba wake mpya ,mara zijue sababu za fulani kufa nknk ni hatari hizi habari
 
Maisha ya wasanii ni shida....

Inabidi maisha yako yawe public toka unaamka mpaka unalala...
 
I hope ni kweli na hiko kijacho ni chake maana watu walizidi kusema kwamba jamaa hana viluilui bali anafuga funza tu.
 
Mimi nlilenga risasi moja tu kipind tupo kwny mafundisho ya ndoa, Mungu alitubarik na toto la kiume

Sent from koromije using bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…