Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

Kuna limoja lilinicheki pia, nikamwambia "fuvk you" nikamsindikiza na block,

Wewe umemu-entertain sana hukua na shughuli za kufanya au ulikua unaingia na kutoka unasikilizia
 
Ukiwajibu na ukawatumia screenshot za hizo hotel wanakupa kama elf 5 kisha wanatoa task kama 3 au 5 hivi unakuwa umekusanya kama elfu 30 hiv kisha wanakwambia uchague sijui maherufi A, B, C hadi D kila moja ina bei yake kisha wanakutumia number ya kuweke hiyo hela then wakutumie ile 30 yako na bonas yaani hela unayopaswa kuweka inaweza kuwa laki 1 au 2 kisha wakupe la 1 na nus au 2 na nusu jumlisha ile 30 yako. Kwa wajanja wakifika hapo wanawakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…