Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

Dr Msweden

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2020
Posts
2,629
Reaction score
9,530
Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan

Screenshot_20201114-182924_1605368091712.jpg
Screenshot_20201114-183116_1605368030120_1605368143368.jpg

Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo .
Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
 
Kwa machizi boti lazma wataazima chombo tu hasa wale wazee wa 3 pedals. 😂😂😂!!!

Kwamie binafsi ntaangalia tu chombo ya fundi maana sina ujanja wa kukoroga stiki. Nmeshazoea kuendeshea herufi pendwa (D) sio kuendesha kwa namba.
 
Hii mbona ya kitambo sanaa... zaidi ya mshikaji wa carina ? 😃😃.. uzamani sana sio deal jamaa katimiza ndoto kama atae timiza kwa huyu mnyama chini

Screenshot_20201115-055536_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom