Hatimaye Mechi ya Simba S.C vs Mbeya City yasogezwa mbele

Povuuuuuuuu jingiii, suguliaa pumbu hizo sio zinababukaaa km andazi la mama hassan pale Kibo. Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Uzuri shughuli yetu mnaijua, Kwa sasa mtaendelea kuwa wanyonge wetu Kwa miaka mingi ijayo[emoji1][emoji1]
 
Wanaahirisha mechi kwa sababu ya umbumbumbu wa timu moja tu, inayoenda kufanya pre season nje ya nchi, katikati ya msimu!!
 
Wanajukumu gani mbele yao?
Mkuu tuliwaletea fainali za CAF hapa 1993, timu pekee ya Tanzania kuwahi kufanya hivyo. Exactly miaka 30 baadae tunawaletea tena fainali ya CAF hapa ila safari hii tunabeba ndoo. Kumbuka maneno haya.
 
Mkuu tuliwaletea fainali za CAF hapa 1993, timu pekee ya Tanzania kuwahi kufanya hivyo. Exactly miaka 30 baadae tunawaletea tena fainali ya CAF hapa ila safari hii tunabeba ndoo. Kumbuka maneno haya.
Angalia usije kujikojolea kwenye iyo ndoto unayoota[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Uzuri shughuli yetu mnaijua, Kwa sasa mtaendelea kuwa wanyonge wetu Kwa miaka mingi ijayo[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio shida zetuuu. Na hatujari wala nn
 
Mechi iliyosogezwa ni ya simba na mbeya lkn malalamiko yanatolewa na watu wa madimbwini huku wanachota maji ndani kurudisha nje
 
Wanaahirisha mechi kwa sababu ya umbumbumbu wa timu moja tu, inayoenda kufanya pre season nje ya nchi, katikati ya msimu!!
Wee tenaaa shougaaaa akee, usiumie kwa hili? Nlitakaa nshangaee.
Hapo km nakuonaa unabeua mdomo na kusonyaaaa,

Acha kujipa vidonda vya tumboo buree mwayaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu relaaaax khaaaaah
 
Kama ni kweli basi naipongeza TFF kwa kuonyesha uzalendo, nadhani hata Mbeya watakuwa wameridhia. Simba wana jukumu zito la kitaifa mbele yao, ikifanikiwa Simba na taifa limefanikiwa.
Mkiulizwa sababu hasa ya kuwapeleka huko Dubai, hamuwezi kuwa nayo! Zaidi tu ya kupoteza muda. Kikosi kimejaa wachezaji wazee!

Hata muwapeleke Urusi kwa Putin, bado wakirudi wataendelea tu kuwa wale wale.
 
Simba ni kubwa kuliko Yanga, ushajioneaaa mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo mbona linajulikana mkuu.
Simba hapa Africa ni kubwa na imezidiwa ukubwa na timu 11 tu kule CAF.

Kwa ukanda huu wa CECAFA - Simba ndio mtemi wetu, hivyo tuwe na adabu kwa wakubwa.
 
Mkiulizwa sababu hasa ya kuwapeleka huko Dubai, hamiwezi kiwa nayo! Zaidi tu ya kupoteza muda. Kikosi kimejaa wachezaji wazee!

Hata muwapeleke Urusi kwa Putin, bado wakirudi wataendelea tu kuwa wale wale.
Mkuu kule tuna makocha wasiopungua 5 wanakinoa kikosi. Utasemaje hakuna kinachofanyika? Yanga huwa mnajitutumua ili muonekane na nyie mmo ila kubalini tu Simba ni level nyingine kabisa. Mnahitaji ushahidi gani tena?

Mmejitahidi sana kudominate ligi kwa huu mwaka huu mmoja na tunawapongeza ila hamko mbali na sisi kama mnavyodhani. Mkipoteza game mbili tu mfululizo tunakuwa sawa point, tena sisi tunawazidi magoli. Game mbili tu!
 
Mwisho wa msimu mtabadilisha tu kocha. Maana huu ndiyo utaratibu wenu kwa miaka yote hii mitatu.
 
Friendly match huko UAE
Ina umuhimu gani hiyo mechi hadi ivuruge ratiba ya ligi? Uliona nchi gani nyingine zaidi ya Tanzania ambapo inaharibu ratiba ya ligi kuu kisa tu kuna timu ina mechi ya kirafiki wakati kuna timu ilikuwa na mechi ya kimataifa Tunisia lakini wakanyimwa kusogezwa kwa mechi
 
Mwisho wa msimu mtabadilisha tu kocha. Maana huu ndiyo utaratibu wenu kwa miaka yote hii mitatu.
Dalili ya taasisi imara ni kutoogopa kuchukua maamuzi magumu pale kunapokuwa na tatizo. Hayo ya mbele hakuna anayeyajua.

Na katika miaka hiyo mitatu tumebeba makombe mangapi na kupata mafanikio gani?
 
TFF knows 🤣🤣🤣 #rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…