Hatimaye Messi asaini mitano tena

Hatimaye Messi asaini mitano tena

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Yajayo yanafurahisha,

Lapulga amekubali kupunguza mshahara wake kwa 50% na kuamua kubakia ktk klabu yake alioanza kuitumikia tangu akiwa na umri wa miaka 13.

Griezman anarudi Atletico Madrid wao wamemtoa kiungo Saul Niguez kwa kubadilishana na barca kama sharti moja la makubaliano.
 
Nimesoma mahali wanasema katika hiyo miaka mitano, Messi anaweza cheza miaka miwili then baada ya hapo aondoke Barca aende timu nyingine kama Marekani, lakini akiwa huko bado atakuwa analipwa mshahara na Barca licha ya kuwa atakuwa haichezei tena Barcelona.
 
Hii inawezekanaje?
 
Huyo ana msimu moja tu wa kucheza baada ya hapo ataenda kuishia Marekani. Umri tayari umeshamtupa mkono na ndio maana timu zingine za Ulaya zimeona ziachane naye.
 
Ungekua unangalia copa america aisee ungeelewa jinsi vijana wa miak 25 wanpata tabu kumpata La Pulga(ndevu)
 
Huyo ana msimu moja tu wa kucheza baada ya hapo ataenda kuishia Marekani. Umri tayari umeshamtupa mkono na ndio maana timu zingine za Ulaya zimeona ziachane naye.

Ebu niambie hao wenye umri mdogo wamefanya nini kumzidi lapulga!!

Screenshot_20210713-135732_Instagram.jpg

Au chuki zinakusumbua!
 
Back
Top Bottom