ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hii inawezekanaje?Nimesoma mahali wanasema katika hiyo miaka mitano, Messi anaweza cheza miaka miwili then baada ya hapo aondoke Barca aende timu nyingine kama Marekani, lakini akiwa huko bado atakuwa analipwa mshahara na Barca licha ya kuwa atakuwa haichezei tena Barcelona.
Ungekua unangalia copa america aisee ungeelewa jinsi vijana wa miak 25 wanpata tabu kumpata La Pulga(ndevu)Huyo ana msimu moja tu wa kucheza baada ya hapo ataenda kuishia Marekani. Umri tayari umeshamtupa mkono na ndio maana timu zingine za Ulaya zimeona ziachane naye.
Ungekua unangalia copa america aisee ungeelewa jinsi vijana wa miak 25 wanpata tabu kumpata La Pulga(ndevu)
Huyo ana msimu moja tu wa kucheza baada ya hapo ataenda kuishia Marekani. Umri tayari umeshamtupa mkono na ndio maana timu zingine za Ulaya zimeona ziachane naye.
Ungekua unangalia copa america aisee ungeelewa jinsi vijana wa miak 25 wanpata tabu kumpata La Pulga(ndevu)