Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Msimu ujao Man U tunamtaka kwa pesa yoyote
Hajawahi shinda hata ndondo cup. A SEASONAL WONDER!!Nikisema katoka sayari nyingine huyo ni messi,
Nikisema katoka venus mtasema labda Cr7
Sasa nasema hivi huyu kiumbe katoka Galaxy nyingine!
Si mwingine bali ni Mo salah Madevu.
CR7 ndio mchezaji bora.Sio mshabiki wa liver ila nataman ichukue uefa ili jmaa imusaidie kushinda uchezaji bora
Ya nakubali ila na namkubali cr 7 pia ila nilipend mwak huu achukueCR7 ndio mchezaji bora.
Hajawahi shinda hata ndondo cup. A SEASONAL WONDER!!
Mmh hakabiki???Huyo mwarabu anacheza na majini uwanjani hahahahaaa
Mtu gani asiyekabika bwana aaaah
For sure jamaa hakabiki wala hazuiliki wenyewe wanasema Salah is unstoppable.Mmh hakabiki???
tulia weweeCR7 ndio mchezaji bora.