Hatimaye mikia fc wameweza kuchukua ubingwa bila mbeleko

......Huyo aishi manula anadaka kama nyani........shiboub na pasi za mikogo huku kahata anasambaza wanaupataaaaaaaaa........
 
wakati tabwe anafunga magoli ya mkono na Ali ali akicheza na yanga tu anajifunga mlikuwa kimya hivi iliwai tokea wapi mpira upo ndani ya nyavu kisha refa anasema kona
 
......Huyo aishi manula anadaka kama nyani........shiboub na pasi za mikogo huku kahata anasambaza wanaupataaaaaaaaa........

tushaelewa mlikuwa mnamaanisha nini mnaposema mbinu mbadala😎
 
wakati tabwe anafunga magoli ya mkono na Ali ali akicheza na yanga tu anajifunga mlikuwa kimya hivi iliwai tokea wapi mpira upo ndani ya nyavu kisha refa anasema kona
sie tunabebwa ila nyie mnazidi kaah!afu hamna hata haya mnafurahia tu kucheza mkiwa 12 uwanjani
 
Pia washabiki wa pamba veteran tunasema Simba ni hatari ichukue tu kombe hata miaka 7 ijayo .Nawakilisha
Mie kama shabiki wa ihefu fc nawaombea simba [emoji881] wabebe ubingwa miaka 6 back to bay
 
na mimi mshabiki wa mashetani ya chikundi nawapongeza na muendelee kwa miaka 10 ijayo kama mlivyomfungaga mtani wenu kwa miaka saba mfululizo
Te amo simba
 
Bila mbeleko[emoji848]magoli ya offside umeyasahau?
 
na mimi mshabiki wa mashetani ya chikundi nawapongeza na muendelee kwa miaka 10 ijayo kama mlivyomfungaga mtani wenu kwa miaka saba mfululizo
Te amo simba
mikia kumbe jina lingine inaitwa chikundu

sorry typing error ni chikundi kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…