Hatimaye mikopo yaanza kutolewa kwa watumishi wa umma

Nayo watakanusha.
Ila sasa, kuna taarifa zingine serikali imekuwa ikitoa na kujikanusha inapoona wananchi tunalalamika sana lakini huwa kinatekelezwa kinachokanushwa.
Mfano:
  1. Kuna taarifa kuhusu serikali kuajiri walimu wa sayansi tu, wa arts wataajiriwa kutokana na uhitaji. Nilisikia waapo redio lkn serikali ikakanusha. Ukweli ni kwamba watakaoajiriwa ktk fani ya walimu ni wale wa masomo ya sayansi(wakati walikanusha)
  2. Ongezeko la VAT kwenye huduma za kibenki na kwenye mitndao ya simu tuliaminishwa kuwa kodi hiyo atailipa mfanyabiashara, sio mteja kama wachambuzi walivyokuwa watueleza. Lkn uhalisia ni kuwa tunaisoma namba vizuri tu.
Kinachokanushwa ndicho hutekelezwa
 
Naomba tuorodheshe ribs za kila benki ili wengine tupate uelews: nmb ,Crdb, postal bank,exim bank, BOA, DCB,walimu bank na nyinginezo ili tupate uelewa
 
duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…