MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Karibu sana JF.. A home of great thinkersNi takribani miaka mingi , tangu nijulishwe habari za "jamii forum " na rafiki yangu nikiwa chuo japo muda wote huo , sikuwahi kuwa member wala kuwa na App ya jamvi hili japo nilikuwa mshiriki bubu kupitia" google"
Nikaribisheni ndugu zangu , wakubwa shikamooni , wadogo hamjambo na rika langu habari zenu
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI.
Mwambie mheshimiwa jaji kama mwandiko wa mtu huyu umelalia kulia au kushoto....Babu yangu mpendwa Asprin nisaidie kuuliza jinsia ya mgeni ili tupate muongozo
Lakini kwa hilo jina MENEMENE TEKERI NA PERESI nafikiri itapendeza akipata muongozo kutoka kwako
Inaweza ikawa eeeeee?
Kilinge kinaweza kutusaidia jinsia yake ili tuanze michakato?Karibu sana JF.. A home of great thinkers
Ahsante sana ,nafurahia sana kukaribishwa na mmoja wa watu ninaowaadmire sana [emoji1666] .Thanks kakaKaribu sana JF.. A home of great thinkers
Hapana ndugu mimi sio huyoMarahaba!
Wewe ni yule dereva wa ile R470 pale NFS?
Ahsante Nigga.Karibu sana buddah!!
Hii ndio forum pekee TZ ambayo tuna talk openly.
Sawa uncle tuko pamoja .[emoji1666]Karibu mkulungwa wajomba zako tumejificha humu kitambo sana.
Mimi sio yeye.
MENE_Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.Karibu mm jina lako nililskia kwenye nyimbo ya boni mwaitege hivi lina maana gani mtumishi
Anhaaa jinsia.? SawaKilinge kinaweza kutusaidia jinsia yake ili tuanze michakato?