Hatimaye mimi ni member humu

Mbona kama ni mwenyeji wewe.

Tuambie id yako ya zamani tafadhari.
 
Uandishi huu mbona kama Ni wa I'd kongwe na changiaji sugu[emoji848]

Kuna Maneno unayatumia mtoa mada ambayo Ni nadra sana kutumiwa na wageni wengi wa humu jf.

Hebu mtoa mada,
twambie I'd yako ya zaman Ni ipi[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…