Hatimaye Miss Lara, aolewa kwa Gavana Adam Oshiomhole

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Watu walikua wakimbeza gavana kwamba hamuwezi mtoto mbichi kama Lara. Lakini yeye aling'aka na kusema anaweza fanya hata zaidi ya kazi vijana wanazo zifanya.

Gavana huyu aliyeanza kwa kukimbia kilometa kumi ili kuwaonesha watu kwamba bado yupo fit.

Ndoa ya wawili hawa imeleta gumuzo mjini. Watu walio wengi wanamlaumu msichana kwamba kaolewa kwa mtu ambaye ni sawa na babu yake. Wengi wanasema kwamba kafuata hela sio ndoa yaani wanasema mwanamke ni Mpigaji.

Hapa chini ya baadhi ya picha zao siku ya harusi yao



Chanzo: Blogs
 
Hongera governer kwa kuoa mrembo Mungu awajalie kwenye ndoa yenu muwe na furaha tele.
 
The devil is in the details. Anayeolewa ni Iara sio Lara!
 
Sina uhakika kama nimeelewa swali lako. Ni majina mawili tofauti. Iara (inatamkwa Yara) ni jina maarufu sana Brazil.

Jina la mtu linaanza na herufi kubwa au ndogo? Jose = Hozee na Argentina wanataka Cozee.
 
yakawaida sana hayo. mfano mzuri hapa kwetu ni mengi na k-lyn ndoa iliyofungwa hivi karibuni. ukiwa huna hela mademu wazuri utaishia kuwaita mashemeji tu. chezea fweza weye.
 
Duuuuuu pesa mwanaharamu aiseee sijui cheo
 
Heaven on Earth hivi vibabu mfano wa machache kumbe West bado vipo! Lol

Acheni watu wautafute urembo kwa nguvu aisee maana ndipo vizee vyenye pesa zao vinatuepo!
 
Last edited by a moderator:
Eeeehh...hii ni kukiuka HAKI ZA WANAWAKE ...!!! Huu ni unyanyasaji kabisaa...!!! Babu anaoa msichana age mtoto wake wa mwisho...eeh..!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…