jamani!!! si wangempa hata IST tu? yaani icho kimeo hakina hadhi yake kabisa....ptuuu,,,ngoja nione kama Hoyce Temu atapost hii zawad btw nimeipenda hashtag ya kikuda ya Clouds hahaa
jamani!!! si wangempa hata IST tu? yaani icho kimeo hakina hadhi yake kabisa....ptuuu,,,ngoja nione kama Hoyce Temu atapost hii zawad btw nimeipenda hashtag ya kikuda ya Clouds hahaa
Kuna vitu ni bora ukajihesabu huna halafu ukaweka bidii kuvitafuta, hivi unaweza kuwaambia wenzio una gari halafu ukawaonesha hili?!
SASA HIYO NI GARI AU NI BANGO LINALOTEMBEA?
Dah hii ni kali, hizo ni stika za kubanduka kirahisi au ndo zile za moja wka moja? Maana hadi kwenye madirisha! ANyway anaweza akauza akapata chochote.