Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
mambo baby darling....
pouwa baby yakemambo baby darling....
Haaaa haaaa...Jf banaKuna vitu ni bora ukajihesabu huna halafu ukaweka bidii kuvitafuta, hivi unaweza kuwaambia wenzio una gari halafu ukawaonesha hili?!
SASA HIYO NI GARI AU NI BANGO LINALOTEMBEA?
Swift au SUZUKI MARUTTIHadhi ya Miss Tanzania ni gari la aina gani?
Haaa haaaaSio kwa gari hili asee
Haaaa haaaa haaa..Hii haiwezi kuwa gari hata siku moja. Kutakuwa kuna jina lake ambalo mimi silijui.
Classic Shame.