hatimaye mkuu wa nchi atua The Kingston Town,na kulakiwa na reggae.

hatimaye mkuu wa nchi atua The Kingston Town,na kulakiwa na reggae.

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Joined
Feb 6, 2009
Posts
138
Reaction score
7
Mkuu wa nchi leo jioni ametua kingston town na kulakiwa kwa sherehe kubwa zikiambatana na nyimbo za reggae kutoka yule master Bob wa Mrley,na kesho atakwenda kwenye kaburi lake ili kuomba na kumuombea.
Bob marley i will remember you for the marvelous tunes you gave us and the music which you created,all is implicable in these times of ufisadi.
 
haya watu wa mkoa wa Mara soko hilo mumeenda tafutiwa na mkulu mwenyewe museme hamuitaki ccm mnachagua chadema!!Kilimo cha yalee mazao yetu kidumu
 
Back
Top Bottom