kwa nini billionea mzima anapoteza muda na nguvu zake kwenye mitandao kuchambana kama kina mwajuma ndala ndefu?MO yuko sahihi sana.
Unamtukanaje mtu halafu uhesabiwe haki ?
Wengi mnaobisha inamaana mnataka mruhusiwe kumtukana bila sababu ?
MO fanya kweli.
Kuchambana ?kwa nini billionea mzima anapoteza muda na nguvu zake kwenye mitandao kuchambana kama kina mwajuma ndala ndefu?
Hebuu hukoooo...... kama ni huu uchungu kajifungue mkuu.Huna akili wewe na wala hujui hata unajadili nini,unaruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,una umasikini wa fikra.
Yaan wakisikia hv wanaweza kukumeza. Yaan nimekuja kugunduaga hawa kanjibahi shida sana....Mikwara Mbuzi tu hiyo! Alipe Bilioni anazodaiwa ununuzi feki was timu yetu a one kama Luna MTU atakuwa na shughuli naye!
Hivi sisi Watanzania ama Waafrika tumerogwa?
MTU anatoka chumbani kwake na kutangaza kununua litimu letu likubwa, halipi hela anayotakiwa kulipa lakini anakabidhiwa litimu loote na kulifanya apendavyo!
Tuna akilii, matope?
Nimemsoma Mo huwa anapenda sana sympathy. Anapenda sana kuplay victim akiulizwa hayo maswali ya msingi. Anapanic vibaya mno. Myu hajaweka hela kama mkataba usemavyo. Anafanya ajisikiavyo halaf akihojiwa ndo mpaka na press. Sipendi hii tabia.....Baasi! Hapo hapo! Ndio zinamtia Kiwewe! Wenye timu yao wanapohoji, atasema in matusi? Ni Kashfa??? [emoji15][emoji15]
Hivi ni kwann akiilizwaga kuhusu hizi hela anakuaga mkali kama pilipili? Yaan maruhani na mizimu yote inaamka. Na anaanzisha drammar hapohapo. Sasa ile ishu yake na kigwa mambo ya pikipiki yanagusiana nn na mpira. Yaan Mo is very weak. Tuache kusema sijui maskin tuna wivu na blah blah. Maswali ya msingi yanapohojiwa yajibiwe kwa hoja. Si kuanza kutafuta visingizio. Honestly sijawahi ona hayo matusi zaidi ya utani na kuulizwa iko wapi biriwoni 20 ya simbaaTatizo ni zile bilioni 20 anazodaiwa na Simba SC!
vijana wa mudi mna jazba sana.Kuchambana ?
MO kamtukana nani ?
Kuandika katika mtandao kila mtu ana uhuru wake.
Hakuna sheria yoyote inayesema Billionea asiwe anaandika maoni yake kwenye mtandao.
Hapa kinachosemwa ni kumtukana mtu bila sababu na ni kosa la kimtandao.
Kama unaona anastahili kutukanwa basi mtukane.
Mudy ndo nani ?vijana wa mudi mna jazba sana.
unamjua nani ambaye ameshawahi kumtukana huyo mudi?
Mudy ni Mohamed a.k.a MoMudy ndo nani ?
We ukijisikia kutukana tukana tu.
Maana naona unalilia kumtukana mtu, umeambiwa ruksa.
Ndio uwezo wako wakufikiri ulipoishia hapo?Hebuu hukoooo...... kama ni huu uchungu kajifungue mkuu.
Chukua time yako mkuu. Kwaheri.Ndio uwezo wako wakufikiri ulipoishia hapo?
Una hasara kubwa sana.
Aiseh..!Mudy ni Mohamed a.k.a Mo
Mudi aseme straight kwamba hataki kuulizwa juu ya 20 bil na si kuzingizia kutukanwa. Sijawahi ona tusi kwake. Anapenda sana kujivictimizevijana wa mudi mna jazba sana.
unamjua nani ambaye ameshawahi kumtukana huyo mudi?
Nichukue time yangu kwani ilikua kwako? Huna unalolijua wewe endelea tu kusubiri ugali wa huruma hapo Kijijini kwenu.Chukua time yako mkuu. Kwaheri.
Mohamed wote ni Mudi.Aiseh..!
Mi sikuwa nafaham hilo jina.
Uliangalia kichekesho cha Joti nini.
Maana alimpa majina kama matatu hivi ya kumtania
Muhammed, Mwamedi, na Mudy.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nisamehe, niliamini unajua Mudi ni nani ila unajitoa ufahamu. Mohamed huku uswazi huwa yamefupishwa hivyo kabisa na ni kawaida wala si matusi wala dhihaka. Mbona wapo wengi sana mtaani wanaitwa hivyo?Aiseh..!
Mi sikuwa nafaham hilo jina.
Uliangalia kichekesho cha Joti nini.
Maana alimpa majina kama matatu hivi ya kumtania
Muhammed, Mwamedi, na Mudy.
Tatizo lako umama mwingi. Halaf mimi siyo mwanaume kama maybe ndo tamanio lako. Sina msaada kwako. ByeNichukue time yangu kwani ilikua kwako? Huna unalolijua wewe endelea tu kusubiri ugali wa huruma hapo Kijijini kwenu.
Ishu ni kwamba hataki kutukanwa na Katoa tahadhari.Mohamed wote ni Mudi.
cha msingi bilionea wenu asipoteze muda wake kusoma comments za watu wanaotumia majina feki mitandaoni hawana cha kupoteza wale.