The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Unaaga mara ngapi? hiyo ni dalili kua ni jinsi gani usivyokua na maamuzi na kutokujiamini,Tatizo lako umama mwingi. Halaf mimi siyo mwanaume kama maybe ndo tamanio lako. Sina msaada kwako. Bye
Hapana nadhani yeye hajakataza kuitwa Jina la Utani kama ni kawaida ya wana Uswazi kuita hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nisamehe, niliamini unajua Mudi ni nani ila unajitoa ufahamu. Mohamed huku uswazi huwa yamefupishwa hivyo kabisa na ni kawaida wala si matusi wala dhihaka. Mbona wapo wengi sana mtaani wanaitwa hivyo?
Mudi angekuwa ametoa billionea 20 za simba wala hata asingekuwa na hiyo mihemko inayomuendesha kupigizana kelele na watu mitandaoni.Ishu ni kwamba hataki kutukanwa na Katoa tahadhari.
Sasa kama mtu anaona amejificha ktk fake ID na anaona yuko salama na anataka kumtukana basi kitakacho mkuta aridhike nacho.
Asije akalalamika kuwa ameonewa.
Mudi hawezi vumilia vijembe 2021, alianza na Kigwangwise next ni wapwa πππMudi kama Mudi.
Wher is our 20 biriwon[emoji23][emoji23]
Mkuu, na mimi ndo nakuambia hakuna matusi. Hakuna hilo. Na hata yangekuwepo nisingehangaika nayo. Hivi kweli matusi yanakuumiza? Hivi Mo anaijua position yake kweli kabisa? Nikisema yuko weak nakosea? Anapenda uswahili jamaa. Short and clear. Nakuhakikishia ni hataki ulizwa juu ya mpira na basi. Yaan nikahamgaike na comments za watu hata siwajui?Hapana nadhani yeye hajakataza kuitwa Jina la Utani kama ni kawaida ya wana Uswazi kuita hivyo.
Yeye hataki kutukanwa matusi.
Nadhani unayajua MATUSI.
Imagine. Yaan ile siku anaulizwa juu ya bil 20. Analeta mada za mkopo wa bodaboda. Baada ya kuona amewashiwa moto akakimbilia inbox ya kigwa kuomba wakae wayamalize. Yaan hanaga kifua[emoji23]. Hawezi vumilia asilani. Anachambana na mtoto wa mbwa kigwa? Nikasema heeh. Ni vile kigwa alipigwa stop maana hizo spana angekoma.Mudi hawezi vumilia vijembe 2021, alianza na Kigwangwise next ni wapwa [emoji16][emoji16][emoji16]