Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Dada upo!Wanyarwanda wajiandae kufiwa na watu wengi kama sisi tulivyofiwa na mwenyekiti wetu wa Ccm Bunda.
Bunda kwa akina Bulaya?Wanyarwanda wajiandae kufiwa na watu wengi kama sisi tulivyofiwa na mwenyekiti wetu wa Ccm Bunda.
Unatafuta ban tu sioni hoja yakoDada upo!
NdioBunda kwa akina Bulaya?
...haya kaseme tena teh teh teh!Unatafuta ban tu sioni hoja yako
MUNGU mbariki magufuliNampenda Rais wangu Magufuli; naipenda nchi yangu Tanzania!
Amekuuliza tu dada upo si ujibu tu nipo kakaUnatafuta ban tu sioni hoja yako
Amen!MUNGU mbariki magufuli
Amekuuliza tu dada upo si ujibu tu nipo kaka
Mbowe anaweza kuhutubia misukule yake akatolea ufafanuzi swala la mipaka [emoji23][emoji1787][emoji2960]Chadema sijui watakuja na lipi tena maana Corona imeenda mipaka imefunguliwa.
Hongera JPM naipenda Tanzania.
Pole sanaNipo kaka naombeleza msiba wa mwenyekiti wa bunda ccm
Amesema Tanzania wamekubali kupimwa mpakani, ina maana msimamo wa Rwanda upo palepale, huingii bila kupimwa.Wanyarwanda wajiandae kufiwa na watu wengi kama sisi tulivyofiwa na mwenyekiti wetu wa Ccm Bunda.
Hamjaelewa, Rwanda hakuna walichobadilisha, huingii kwao bila kupimwa ila kwetu hatupimi maana maabara zipo kwenye uchunguzi.MUNGU mbariki magufuli
Wale wake za mbowe ngoja kidogo utawasikia humu soon!Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana.
Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru pasi na vikwazo vya kubaguana na kunyanyapaliana kama hapo awali.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.