Mkuu naona unaikubali stars kweli ila mie wapiAsante kwa taarifa na kila la heri Taifa stars huko Rwanda
sawa aiseeMkuu naona unaikubali stars kweli ila mie wapi
mtu chake..huwezi mkataa baba kisa mleviMkuu naona unaikubali stars kweli ila mie wapi
Shukrani mkuu ila Nimeangalia kwenye program zao za leo kama sijaiona vile
Wataonyesha Angalia hata muda huu wanaoanyesha mechi iliyopita kama previewShukrani mkuu ila Nimeangalia kwenye program zao za leo kama sijaiona vile
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Poa poaWataonyesha Angalia hata muda huu wanaoanyesha mechi iliyopita kama preview
Sent using Jamii Forums mobile app