Hatimaye mulugo ang'oka rasmi elimu

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!
 
unadhani huo Mhe. Mhagama ataweza kufanya aliyofanya Mulugo? Jamaa alijitahidi sana kwa kweli ingawa ana mapungufu yake
 
Jenesta mhagama safiii...bora duh. Mlikuwa wapi kumtoa huyu jamaa mapema?
 
Huyu alisema hajiuzulu, sasa yamemkuta...amefukuzwa!

 
Huyu alisema hajiuzulu, sasa yamemkuta...amefukuzwa!

Hahahahaaa.....kama alikuwa hatak kujiuzulu kwa hiari yake mwenyewe wenzake wameamua kumsaidia, aibu yake unaibu waziri miaka mitatu na kuondolewa
 
Mi nadhani wapo mawaziri wengi ambao wangeweza kung'olewa akabaki Mlugo, kwa mfano sidhani kama waziri wa elimu anastahili kubaki katika nafasi yake.
 
Huyu hakustahili kabisa kiutwa Waziri mdogo wa wizara ya elimu.

[video=youtube_share;e3BNegmIUKM]http://youtu.be/e3BNegmIUKM[/video]
 
Waziri Wa elimu ni mtu wa pwani na ni dini yangu ,simtoi
 
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!

Ntazimiss sana pumba zake..
 
Huyu hakustahili kabisa kiutwa Waziri mdogo wa wizara ya elimu.

[video=youtube_share;e3BNegmIUKM]http://youtu.be/e3BNegmIUKM[/video]

Pamoja na kukubali ya kuwa Baraza bado lina mapungufu (la zamani na jipya), huyu mtu anayeitwa Mulugo alikuwa kitovu cha aibu na chanzo cha watanzania ulimwenguni kote kuona aibu hata kutamka hadharani kuhusu uraia wetu. Hiyo hotuba yake ilikuwa kwenye youtube na huku nilipo ilikuwa inatumiwa kila wakati kuonyesha kwa mshangao kuwa 'eti kuna nchi hapa duniani ambayo naibu Waziri wake wa ELIMU anatoa hotuba kama iliyoandikwa na kusomwa na mtoto wa darasa la tano'.

Kama huyo ndiye Naibu Waziri, wanafunzi wanaotoka kwenye taasisi za Elimu mbalimbali nchini mwetu watakuwa na viwango gani? Nilishangaa sana miaka ya mwanzoni mwa 2000 nilipokutana na mwanafunzi kutoka Tanzania aliyekuja huku kwa dhamira ya kutafuta Chuo cha kusoma baada ya 'kufanya vizuri sana kwenye mtihani wa kidato cha 6' aliposisitiza ya kuwa kisiwa cha Mafia hakipo Tanzania, na pili alisisitiza kwa kunihakikishia ya kuwa yeye anajua sana Jiographia, na Spain ni sehemu ya Marekani...

Sikuelewa maskini, kumbe halikuwa kosa lake. Maskini Tanzania yangu!
 

Hahahahahaaaa..... hapo umeua mkuu!!!
 
Huyu Jenister naye ni Majanga pia.... hii nchi haitokuwa nzuri hadi Changes kubwa sana ifanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…