msuyajr Member Joined Jan 18, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Jan 21, 2014 #41 Hongera rais kwa kumfire mulugo
M mahanje New Member Joined Jan 4, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Jan 21, 2014 #42 Mtu alisema haongei na mbwa Bali anaongea na mwenye mbwa.wakati huo alikuwa akipewa kipaza sauti kwa ruhusa ya mheshimiwa spika sasa kipaza sauti anacho muda wote .Itakuwaje kwa wadau wezie akiwaita pale ukumbi wa maelezo
Mtu alisema haongei na mbwa Bali anaongea na mwenye mbwa.wakati huo alikuwa akipewa kipaza sauti kwa ruhusa ya mheshimiwa spika sasa kipaza sauti anacho muda wote .Itakuwaje kwa wadau wezie akiwaita pale ukumbi wa maelezo
K kansenyeje Member Joined Dec 11, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Jan 23, 2014 #43 Munkari said: khaaa! Wacha tuone vipya!! Click to expand... Nadhani sasa anajipanga upya 2015 lazima achukue uwaziri
Munkari said: khaaa! Wacha tuone vipya!! Click to expand... Nadhani sasa anajipanga upya 2015 lazima achukue uwaziri
N NJALI JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,534 Reaction score 1,090 Jan 24, 2014 #44 msuyajr said: Hongera rais kwa kumfire mulugo Click to expand... ametoa kwekwe akaacha matete!!
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Jan 25, 2014 #45 msuyajr said: Hongera rais kwa kumfire mulugo Click to expand... Awafire tuu