Nature
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 830
- 2,241
Moto mkubwa uliokuwa unawaka na kuteketeza Msitu na uoto wa asili unaozunguka mlima Kilimanjaro umezimika baada ya mvua kunyesha Usiku wa kuamkia leo Tar 1/11/2022.
Takribani wiki mbili sasa jitihada mbalimbali zilikuwa zinaendelea kuuzima moto huo bila mafanikio, mpaka mvua ziliponyesha usiku wa leo na kufanikiwa kuuzima moto huo.
Sifa na Shukurani zimrudie Mungu.