Hatimaye Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro, Lembruce Mchome aachiwa kwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Hii ni baada ya kukalishwa selo kwa mwezi mmoja , ameachiwa leo jumatatu . Alikamatwa kwa tuhuma za kupiga picha gari la DG wa TISS , lakini baadaye akashitakiwa kwa kesi ya kuumba ya kusambaza picha za ngono .

Shukrani ziwaendee wanasheria wa Chadema
 
Pole Kijana. Mungu akupe Ujasiri wa kuvumilia. Maisha kuna Ups na Downs.
 
Hivi mfano mm nkapiga picha nkaisambaza, watanikamata na kunishtaki kwa kosa gani maana sina kosa lilote la kusingizia. 😁😁
 
Hotuba ya mh Lissu imefanya yake hiyo kwani unadhani kila mwenye kadi ya ccm ni ccm kutoka moyoni?
 
Hawaja mnaniliu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…