HATIMAYE MWIZI WA MAHINDI ATUA MZIGO WAKE MAPEMA...

BAC MKUU WA MKOA WA MBEYA akawauliza mafarisayo na wananchi WA MBEYA "niwape SUGU au YANGA ambaye Hana HATIA..... (mkuu wa Mkoa alikuwa anataka kumtoa YANGA mikononi mwa wana MBEYA).... Wananchi WA MBEYA wakapaza Sauti zao...... tunamtaka SUGU, tupatie SUGU, Tupe SUGU, Msulubishe YANGA, Msulubishe.... Mkuuu wa mkoa akauliza je huyu asiyekuwa na HATIA (YANGA) asulubiweee na apigwe misumari bila kuwa na hatia?, wakasema asulubiweeeee, Bac MKuu wa mkoa akanawa mikono , kisha akasema dhambi iwe juu yenu, juu ya watoto wetu Bac MKUU WA Mkoa Akamfungulia SUGU na akamtwaaa YANGA na akawapatia wana PRISONS wamfanye watakalo. Basi wakamchukua wakamfanyia kila Dhihaka wakampigilia misumari 2 na kumtundika SOKOINE wakaweka na kibao juu ya msalaba huyu ndiye CHURA HALISI, basi Alikuwepo Akida mmoja anaye toka SIMBA kusema HAKIKA Huyu CHURA Alikuwa na HATIA.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…