Kunywa majiWalokole awamu hii tunapata tabu sana.
Mbona bia hazipandi bei.
Safi sanaNa bado,
Si tuko busy tunapambana na marehemu
Soda ina Co2Kunywa maji
Achana na misoda
Hebu ntajie ingredients zilizowekwa
Kwenye soda ?
Ova
Sawa endelea kuitumiaSoda ina Co2
Ina sukari maalum (nyeupe hivi).
Rangi maalum ( orange etc).
Na distilled water.
Magu angekuwepo, asingeruhusu!
Karibu pepsiCoka imekua soda ya kifala au mi nimeuziwa fake? Haina gesi kabisa wala radha
Officially. Imagine Pepsi na Maandazi akileta Boda.Karibu pepsi
🤣🤣 itakuwa burudaniiiOfficially. Imagine Pepsi na Maandazi akileta Boda.