Hatimaye narudi Dar

karibu sana ila tukukumbushe, mkuu wa mkoaa sio makonda, wala abdala kunenge yupo mwingine, pia ubungo kuna njiaa nne na lile jengo la tenesco wamelibomoaa upande na pia sijajua wewe jinsia gan!?? ningekushauri tena!
Mimi Dume mzee.
Niliondoka 2014 sikumbuki mkuu wa Mkoa alikuwa nani.
Najua barabara zimebadilika sana.
 
wenzio tuliambiwa tutarejea makwetu ndani ya miaka 5, tukapambana hadi leo tupoo Jiji la Dar
welcome back
 
wenzio tuliambiwa tutarejea makwetu ndani ya miaka 5, tukapambana hadi leo tupoo Jiji la Dar
welcome back
Aliyesema hivyo si ndiyo karejea kwao anaitwa mwendazake??
Aisee, life inakimbia!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…