Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Dhambi ni mtazamo wako tu kama alikuwa hakulazimishi ... unajua dhambi ni matokeo ya majuto kwa kile ulichokifanya sitetei chochote ila kuna watu wana dhambi nyie hapa duniani!! Kama ulifany kwa mwaka mxima kuacha haraka haraka siyo rahisi maybe anza kidgo kidgo mwishowe utacha kabisa
 
Nipe namba yake[emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana kwa kuchomolewa kimba Mara kadhaa na huyo Pimbi,na hongera kwa kumkimbia
 
Sina namna,tozo zinafanya tufanye kila namna 😂
Hizo kila namna mnazopambania ndio hadi zinakuja kuanzisha Uzi km huu,watu wanachomolewa kimba ukiuliza eti tozo.....asalalek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…